Select Page

0 Kaimu Mkurugenzi wa PCI, Jennifer Waugaman akiwa na Mratibu wa PCI ncuini, John Lafa(kulia) wakipewa zawadi baada ya kuzindua mradi huo.
Mwandishi wetu,Monduli Wafugaji wa wilayani tatu za mkoa wa Arusha,watakuwa wakifikia malisho na maji ya mifugo yao kwa kutuma ujumbe wa simu kuulizia eneo lenye maji na malisho na kujulishwa. Mradi huu umezinduliwa jana na shirika la kimataifa la PCI ,l, katika kijiji cha Arkaria wilayani Monduli na utatekelezwa pia wilaya za Longido na Ngorongoro ambazo zin…

Read the original article here...